Msemaji wa YANGA SENDEU akiwa na katibu mkuu MWALUSAKO wakati wa mkutano na waandishi wa habari .
Katibu mkuu wa klabu ya YANGA MWALUSAKO anadai malipo ya shilingi milioni mia moja baada ya gazeti la DIMBA kudaiwa kuandika habari za uzushi kuwa MWALUSAKO amevuja hela shilingi milioni mia zilizotolewa na mfadhili wao YUSUPH MANJI alizotoa kwa ajili ya usajiri.
MWALUSAKO amesema gazeti hilo limeandika habari ya uongo kwani haina ukweli wowote zaidi imepotosha jamii na wapenzi wa klabu ya YANGA .
Hivyo basi gazeti la BINGWA linatakiwa kumlipa fidia au kuomba radhi juu ya tuhuma hizo.
0 maoni:
Post a Comment