Friday, February 4, 2011

PAULSEN ATANGAZA KIKOSI KIPYA NA KUWATEMA TEGETE,MWASIKA SHIBOLI NA GUMBO

Kocha wa timu ya Stars JAN PAULSEN akitangaza kikosi cha timu ya Taifa tayari kwa mchezo wa kirafiki  dhidi ya Palestina Februari 9 Dar.

Katika kikosi cha wachezaji ishirini na moja waliotangazwa kati ya hao walioachwa ni JERRY TEGETE , RASHID GUMBO, AHMED ALI SHIBOLI na STEPHANO MWASIKA wakati walioongezwa ni CHACHA MARWA, GODFREY BONY, JULIUS MROPE,RAMADHAN CHOMBO,MBWANA SAMATA.
 
 Pia waliorudishwa kikosini ni MUSSA MGOSI,JUMAJABU, HARUNA SHAMTE

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU