Tawi la YANGA TANDALE UZURI likiongozwa na mwenyeki JUMA MIRAJI KASSIM lamtaka mfadhili wa YANGA YUSUPH MANJI kuachia ngazi katika klabu hiyo kwani yeye ndiyo chanzo cha matatizo katika klabu hiyo.
Wamesema MANJI anawatumia baadhi ya viongozi wa YANGA kujinufaisha akiwemo mwenyekiti NCHUNGA pamoja na aliyekuwa katibu MWALUSAKO ambayo licha ya kuwa viongozi wa YANGA lakini bado wanafanya kazi kwa mfadhili YUSUPH MANJI.
Wanachama hao wamesema wapo tayari kufika popote pale lakini MANJI atoke YANGA kama anataka akaanzishe timu yake na si YANGA ambayo ni ya wananchi wote wapenzi wa YANGA na wanaitakiwa mema klabu ya YANGA.,hivyo wamempa muda YUSUPH MANJI kutangaza kwenye vyombo vya habari kuachia ngazi mara moja.
0 maoni:
Post a Comment