Waandishi wa habari nchini zaidi ya elfu moja watajumuika kwa pamoja katika bonanza la michezo mbali mbali mwezi ujao .
Afisa uhusiano wa kampuni ya bia nchini TBL ambao ndio wadhamini wakuu wa bonanza hilo EDITH MUSHI pamoja na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo nchini JUMA PINTO wamesema kuwa tamasha hilo litakuwa la aina yake.
Katika bonanza hilo kutakuwa na michezo mbali mbali kama vile kuvuta kamba, soka, mpira wa kikapu na kufukuza kuku kama mabonaza mengine yanavyofanyika kwa waandishi wa habari za aina zote bila kuchagua ni mwandishi wa habari za aina gani.
0 maoni:
Post a Comment