Thursday, February 17, 2011

UWANJA WA UHURU WATUMIKA KWA AJILI YA WAHANGA WA MABOMU WA GONGO LA MBOTO KUTAMBUA WATOTO WAO WALIOPOTEA

                                 Katika uwanja wa Taifa wazazi waliofika kutambua watoto wao
                                                 Wakisubiri kutambua watoto wao
              Wakazi wa gongo la mboto wakiwa wamekaa jukwaa la njano wakisubiri kuwatambua watoto wao
                                 Watoto waliopotea wakiingizwa uwanjani ili waweze kutambuliwa
                                  waliopotea
                                  Watoto hawa wamepoteana na wazazi wao

                                   Mzazi huyu akifurahi baada ya kuwapata watoto wake wawili
                                 Hapa watoto wakiwa pamoja kwa mstali waweze kutambuliwa
                                     Bado hawajawaona ndugu zao
                               Mtoto akiwa amebebwa kwani hajui wazazi wake wako wapi
                               Wazazi wakipita kuwatambua watoto wao

                                  

3 maoni:

Anonymous said...

Inasikitisha,inauma hadi machozi yananitoka.EEMungu Inusuru Tanzania yetu.

mkama said...

Hii ni kama si tanzania nayoijua mimi. Mungu awasaidie wapate ndugu zao warudi nyumbani salama.

Anonymous said...

poleni sana ndugu tuko pamoja katika sala.mimi chilekeye

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU