Thursday, March 17, 2011

STANBIC BENKI TANZANIA YATOA MSAADA KWA WAHANGA WA MABOMU GONGO LA MBOTO

Mkuu wa Masoko wa Benki ya Stanbic Tanzania, Abdallah Singano
(kushoto) akikabidhi msaada wa mafuta ya kupikia, vyakula, nguo na
misaada mingine ya kibinadamu kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Leonidas
Gama kwa ajili ya waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto jijini Dar es
Salaam jana.Wa pili kulia ni Meya wa Ilala, Jerry Slaa na ofisa wa
benki hiyo, Kay Mbwambo.
Mkuu wa Masoko wa Benki ya Stanbic Tanzania, Abdallah Singano
(kushoto) akikabidhi msaada wa mfuko wa unga wa mahindi, mafuta ya
kupikia, vyakula, nguo na misaada mingine ya kibinadamu kwa Mkuu wa
Wilaya ya Ilala, Leonidas Gama kwa ajili ya waathirika wa mabomu ya
Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam jana.Wa pili kulia ni Meya wa
Ilala, Jerry Slaa na ofisa wa benki hiyo, Kay Mbwambo.
Mkuu wa Masoko wa Benki ya Stanbic Tanzania, Abdallah Singano
(kushoto) akikabidhi msaada wa mfuko wa unga wa sembe kwa Meya wa
Ilala, Jerry Slaa pamoja na mafuta ya kupikia, vyakula, nguo na
misaada mingine ya kibinadamu kwa ajili ya waathirika wa mabomu ya
Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkuu wa Wilaya
ya Ilala, Leonidas Gama, kushoto ni maofisa wa Stanbic, Eva Kombe na
Kay Mbwambo kulia.
Mkuu wa Masoko wa Benki ya Stanbic Tanzania, Abdallah Singano
(kulia) akiwaongoza baadhi ya wafanyakazi wa benkim hiyo walipokwenda
kuwafariji wahanga wa mabomu ya Gongo la Mboto na kuona uharibifu wa
makazi ukiosababishwa na mabomnu hayo ambako pia walikabidhi misaada
mbalimbali ya chakula na vitu vingine.
Baadha ya wafanyakazi wa benki ya Stanbic Tanzania
walipowatembelea na kuwafariji waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto
na pia kuwapa misaada mbalimbali ya chakula na mahitaji mengine.
Mkuu wa Masoko wa Benki ya Stanbic Tanzania, Abdallah Singano
(kulia) akizungumza na mmoja wa watoto ambao wazazi wake waliathirika
na mabomu ya Gongo la Mboto  walipowatembelea na kuwafariji waathirika
hao na pia kuwapa misaada mbalimbali ya chakula na mahitaji mengine
katika eneo hilo, Dar es Salaam jana.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU