Monday, March 28, 2011

WADAU SEKTA YA MAFUTA NA KAMATI YA BUNGE NISHATI

Wadau sekta ya uingizaji na usafirishaji  mafuta ndani ya nnchi nnje ya nnchi wakijadiliana wakati wa mapumziko baada ya kukutana nakamti ya bunge inayo shughulika
nashati na madini dsm
Mwenyekiti chama cha wenye malori nawasafirishaji bidhaa nje ya nnchi na
mkurugenzi mkuu wa superdol bwana Seif A Seif akieleza wandishi wa tbc kuhusu athari
wanayo pata kutokana na mfuta yanayo chakachuliwa
Mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini mh Januari makamba akijadiliana na mwnyekiti wa chama cha wenye malori na wasafirishaji mizigo ndani na nje ya nnchi  bwana Seif A Seif ambaye ni mkurugenzi mkuu wa superdoll  walipo kutana katika kikao cha kujadili matatizo yanayo wakabili na hasara wanazopata kutokana na kuchakachuliwa kwa mafuta ilfanyikia ktika ukumbi wa mambo ya nnje na ushirikiano w kimataifa dsm

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU