Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wakurugenzi wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera,Nasor Seif (kushoto) na Seif Seif (katikati) wakati alipotembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 10, 2011. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Bukoba Mjini, Khamis Kagasheki (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mitambo ya umwagiliaji katika shamba la miwa la kiwanda cha sukari cha Kagera wakati alipokitembelea akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 10, 2011. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa huo, Mohamed Babu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Post a Comment