Wednesday, April 27, 2011

NBC YASHEREHEKEA PASAKA NA WANAWAKE NA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Mshauri WA Mawasiliano wa Benki ya NC, Robi Matiko-Simba (kulia)
akimpa chakula mtotoHusna Abdalah wakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwenda
katika kituo cha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira magumu
cha House of Peace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya sherehe za
Sikukuu ya Pasaka jijini Dar es Salaam
Mshauri WA Mawasiliano wa Benki ya NC, Robi Matiko-Simba (kulia)
akimpa chakula mtotoAngel Godwin  wakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwenda
katika kituo cha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira magumu
cha House of Peace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya sherehe za
Sikukuu ya Pasaka jijini Dar es Salaam

Baadhi ya watoto wakipiga picha na Mshauri wa Mawasiliano wa
Benki ya NC, Robi Matiko-Simba (kulia) akipiga picha na akimpa chakula
mtoto wakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwenda katika kituo
cha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha House of
Peace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya sherehe za Sikukuu ya Pasaka
jijini Dar es Salaam
Baadhi ya watoto wakifurahia mlo wa Pasaka uliotolewa na benki ya NBC
 wakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwenda katika kituo
cha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha House of
Peace nao kula chakula ikiwa ni sehemu ya sherehe za Sikukuu ya Pasaka
jijini Dar es Salaam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU