Friday, April 8, 2011

TIMU YA VIJAN U23 WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

 Wachezaji wa timu ya vijana ya U23 wakiwa wamebeba uga wa ngano kwa ajili ya watoto yatima katika kituo kilichopo magomeni
                    Kocha wa timu ya vija JULIO akiongea mara baada ya kukabidhi msaada kwa watoto yatima
                                                Wachezaji wakiingiza ndani msaada huo

              NGASA akiwa amembeba mmoja wa watoto yatima mara baada ya kufika katika kituo hicho
                                         Wachezaji wakiendelea kushusha mzigo
                 Gari la STARS ambalo lilibeba msaada huo likiwa limepaki
                                      Wachezaji wakimsikiliza kocha akizungumza.

Timu  ya vijana imetoa msaada katika baadhi ya vituo vya kulelea watoto yatima ambapo blog hii imeshuhudia timu hiyo ikitoa msaada vyakula na maji kwa kituo cha UMRA kilichopo MAGOMENI

Kocha JAMHURI KIHWELU amesema msaada huo nia ni kuwasaidia watoto hao ikiwa ni kutaka baraka wakati timu hiyo ikijiandaa na mchezo dhidi ya CAMEROUN. 

Naye mlezi wa watoto hao, RAHMA KISUMBA ameitakia mafanikio timu hiyo katika mchezo huo utakaochezwa katika uwanja wa TAIFA jijini DSM

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU