Sunday, April 17, 2011

UWANJA WA UHURU WAANZA MATENGENEZO KUKAMILIKA NOVEMBER MWAKA HUU



                                  Mafundi wakiendelea na ubomoaji wa uwanja wa UHURU

                                        Sehemu ya jukwaa la kijani likiwa lianza kubomolewa
Uwanja wa UHURU maarufu kama shamba la bibi umeanza kubomolewa tayari kwa matengenezo ya uwanja huo ambao kwa sasa umesimamishwa kutumika .

Msimamizi wa ujenzi huo XIAG YUZ HANG amesema matengenezo ya uwanja huo yatakamilika NOVEMBER mwaka huu na utakuwa juu na chini hivyo mashabiki wa soka watakaa sehemu mbili na wataondokana na usumbufu wa waliokuwa wanapata awali.

1 maoni:

Peter Ngassa said...

so wanazungushia majukwaa kote? at least iwe kama jamhuri morogoro, majukwaa kote!

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU