Sunday, April 10, 2011

YANGA BINGWA 2011

Timu ya YANGA imetwaa ubingwa wa michuano ya ligi kuu TANZANIA Bara baada ya kuimbuka na ushindi wa magoli matatu kwa bila dhidi ya TOTO AFRIKA ya MWANZA mchezo ulifanyika huko MWANZA.

YANGA imetwaa ubingwa huo baada ya kuizidi SIMBA goli moja ambapo SIMBA ilikuwa katika uwanja wa TAIFA ikicheza na MAJIMAJI na katika mchezo huo SIMBA ilishinda magoli manne kwa moja ,hivyo ikishindwa kutetea ubingwa wake huku ubingwa huo ukienda kwa timu ya YANGA.

Kwa upande wa timu zilizoshuka daraja ni MAJIMAJI na AFC ARUSHA.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU