Friday, June 17, 2011

WASANII WATEMBELEA BUNGENI DODOMA

  Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko,   Dr. Cyril  Chami aikiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini waliokwenda Bungeni Mjini Dodoma Juni  17, 2011. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr. Cyril Chami (kushoto) akizungumza na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 17, 2011. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU