Wednesday, June 29, 2011

WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI WAPATA MSAADA KUTOKA BENKI YA NBC

Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Samora, Zakaria Binagi (kushoto)akikabidhi misaada wa bidhaa mbalimbali za dukani na Vyerehani wenye thamani ya Sh milioni 3 kwa kikundi cha watu wanaoishi na virusi vya ukimwi cha Nuru Plan vilivyotolewa na NBC katika hafla ilyofanyika katika ofisi za kikundi hicho, Yombo Vituka, Dar es Salaam jana.
                                      Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Samora, Zakaria Binagi (kushoto) akikabidhi cherahani kwa Kaimu Mwenyekiti wa kikundi cha watu wanaoishi na virusi vya ukimwi cha Nuru Plan, Elizabeth Sanga katika hafla iliyofanyika katika ofisi za kikundi hicho, Yombo Vituka, Dar es Salaam jana. NBC pia ilikabidhi misaada mingine ya bidhaa mbalimbali za dukani vikiwa na thamani ya jumla ya shs milioni tatu katika haflahiyo. Katikati ni Ofisa katika Tawi la Samora, Amina Nzimano

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU