Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aizungumza na Mdhibiti na Mkagui Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh baada ya kufungua mkutano wa mwaka wa wakaguzi wa hesabu kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Juni 20, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Utumishi wa Umma kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Juni @0, 2011. (Piocha na Ofisi ya Wazieri Mkuu)





0 maoni:
Post a Comment