Thursday, June 16, 2011

WAZIRI MKUU KATIKA HARAKATI ZA KUJENGA NCHI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na  Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP),  Bw. Ronald Sibanda ambaye alikwenda kuaga, Ofisini kwa Waziri Mkuu , Bungeni  Mjini Dodoma  Juni 16, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana  na  Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP),  Bw. Ronald Sibanda ambaye alikwenda kuaga, Ofisini kwa Waziri Mkuu , Bungeni  Mjini Dodoma  Juni 16, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya papo kwa papo, Bungeni mjini Dodoma Juni 16, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya papo kwa papo, Bungeni mjini Dodoma Juni 16, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


                                       
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu, Bungeni Mjini Dodoma Juni 16, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU