Thursday, June 23, 2011

WAZIRI MKUU NA HARAKATI ZA BUNGENI

Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji, Dk. Getrude Rwakatare akizungumza na wanfunzi wa shule ya Msingi ya Temeke waliotembelea Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipokea zawadi kutoka kwa kiongozi wa ujumbe wa Wabunge Kutoka Vietinam, Mheshimiwa Pham Minh Tuyen baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe huo, ofisini kwake, Bungeni Mjini DodomaJuni 22,2011. (Picha na Ofisi ya WaziriMkuu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge  wa Busanda, Lolesia Bukwimba kwenye viwanja vyaBunge Mjini Dodoma Juni 22, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU