Thursday, June 30, 2011

YANGA YASHINDA KWA MBINDE DHIDI YA ELMAN YA SOMALIA

                                           Wachezaji wa yanga wakishangilia bao la pili

Timu ya YANGA imeibuka na ushindi wa magoli mawili kwa bila dhidi ya ELMAN ya SOMALIA katika mchezo uliofanyika uwanja wa Taifa Jijini DSM ,kwa matokeo hayo yanga imefikisha pointi nne na magoli manne

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU