Friday, July 15, 2011

MAJAMBAZI YAPORA FEDHA KITUMBINI JIJINI DSM NA KUACHA SILAHA NA PIKIPIKI




Majambazi wawili wapora fedha maeneo ya kitumbini kwa kutumia silaha na usafiri wapikiki .

majambazi hayo yalikimbizwa na polisi pamoja na wananchi hatimaye yalitelekeza pikipiki pamoja na bastola nakukimbia kwa kwa miguu polisi wali ichukua pikipiki hiyo na bastola majira saa kumi jioni

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU