Msemaji wa Yanga Sendeu na katibu mkuu .
Baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la KAGAME uongozi wa klabu ya yanga kwa kushirikiana na msanii Jay Dee kesho wanakula chakula cha usiku na wachezaji katika ukumbi wa Jay Dee Nyumbani .
Baada ya chakula hicho wachezaji wa yanga wamepewa mapumziko ili kujiandaa na ligi kuu TANZANIA BARA





0 maoni:
Post a Comment