Thursday, July 28, 2011

NAIBU WAZIRI WA UTAMADUNI WA CHINA ATEMBELEA BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Njombe Kaskazini, Deo Sanga wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Julai 28, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Lediana Mg'ong'o (kulia) na Kaimu Katibu wa Bunge , John Joel kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 28, 2011.
Waziri MKuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha, Naibu Waziri wa Utamaduni wa China, Bibi Zhao Shaohua kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu Mjini Dodoma Juali 28, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Naibu Waziri wa Utamaduni wa China, Bibi Zhao Shaohua (kushoto kwake) kwennye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma baada ya mazungumzo yao Julai 28,2011. Kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. William Nchimbi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Utamaduni wa China, Bibi Zhao Shaohua kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 28, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Mtama, Bernad Membe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 28, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU