Tuesday, July 12, 2011


NAIBU waziri wa NISHATI na MADINI, ADAM MALIMA leo bungeni mjini DODOMA amelitolea ufafanuzi uliosababisha kukatika kwa umeme jijini DSM wakati ambapo pia timu ya YANGA siku hiyo ya jumapili iliyopita ilikuwa ikabidhiwa zawadi ya kombe la klabu bingwa kwa nchi za Afrika mashariki na kati la KAGAME baada ya kumfunga mpinzani wake wa jadi SIMBA katika mchezo wa fainali uliochezwa katika uwanja wa TAIFA.

Naibu waziri MALIMA hata hivyo amesema suala hilo linafuatiliwa na kuhoji kutofanya kazi kwa majenereta ya uwanja huo wakati yapo

Katika kipindi cha zaidi ya miaka kumi timu ya YANGA haikuwahi kunyakuwa kombe la KAGAME na hivyo kunyakuwa kombe hilo juzi kunavunja historia ya muda mrefu ya kutonyakuwa ubingwa huo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU