Monday, August 15, 2011
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA NA BALOZI WA SHIRIKISHO LA UJERUMANI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Diane Corner, wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15. Kushoto ni msaidizi wa Balozi katika Shirika la maendeleo la Uingereza (DFID), Magdalena Banasiak Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Diane Corner, wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes, wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15.Kushoto ni msaidizi wa Balozi, Haus Koeppel. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes, wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15.Kushoto ni msaidizi wa Balozi, Haus Koeppel. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes, wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15.Picha na Muhidin Sufiani-OMR
0 maoni:
Post a Comment