Tuesday, August 2, 2011
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA KILIMO CHA ZABIBU DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Asha Bilal, wakifurahia ngoma ya asili kabira la Wagogo, wakati walipowasili Kijiji cha Chilangali (ii) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma leo Agosti 02, 2011 kukagua mradi wa kilimo cha Zabibu (FUNE) katika shamba hilo lenye ukubwa wa Hekari 300. Picha na Muhidin Sufiani-OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe, wakiangalia Pikipiki aina ya Bajaj, aliyoizindua na kumkabidhi Mwenyekiti wa SACCOS ya FUNE, Jones Mazengo. Bajaj hiyo imetolewa na Benki ya CRDB ili itumike katika shughuli za kutembelea shamba la Mizabibu lililopo kijijini Chilangali (ii), likiwa na hekari 300 ambazo zinamilikiwa na wananchi- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakisikiliza maelezo kutoka kwa mwendeshaji wa mitambo ya kusukumia maji kwenda katika mashamba ya Zabibu, Aloyce Zakaria, wakati walipofika Kijiji cha Chilangali (ii) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma leo Agosti 02, 2011 kukagua mradi wa kilimo cha Zabibu (FUNE) katika shamba hilo lenye ukubwa wa hekari 300 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakiangalia Valve ya kuruhus maji kwenda mashambani , wakati walipofika Kijiji cha Chilangali (ii) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma leo Agosti 02, 2011 kukagua mradi wa kilimo cha Zabibu (FUNE) katika shamba hilo lenye ukubwa wa hekari 300. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakikagua miche ya mizabibu, wakati walipowasili Kijiji cha Chilangali (ii), Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma leo Agosti 02, 2011 kukagua mradi wa kilimo cha Zabibu (FUNE) katika shamba hilo lenye ukubwa wa hekari 300. Picha na Muhidin Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe, Mama Asha Bilal, wakisikiliza maelezo ya Mkulima wa Zabibu, Gulavile Chikamanjenzi (kulia) wakati walipowasili Kijiji cha Chilangali (ii) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma leo Agosti 02, 2011 kukagua mradi wa kilimo cha Zabibu (FUNE) katika shamba hilo lenye ukubwa wa hekari 300. Picha na Muhidin Sufiani-OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe, Mama Asha Bilal, wakitoka kukagua mashamba ya zabibu, wakati walipowasili Kijiji cha Chilangali (ii) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma leo Agosti 02, 2011 kukagua mradi wa kilimo cha Zabibu (FUNE) katika shamba hilo lenye ukubwa wa hekari 300. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe, Mama Asha Bilal, wakiangalia Bwawa la kuhifadhia maji ya kumwagilia mashamba ya Zabibu, wakati walipowasili Kijiji cha Chilangali (ii) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma leo Agosti 02, 2011 kukagua mradi wa kilimo cha Zabibu (FUNE) katika shamba hilo lenye ukubwa wa Hekari 300. Picha na Muhidin Sufiani-OMMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wakulima wa Zabibu baada ya kutembelea na kukagua mashamba, wakati alipowasili Kijiji cha Chilangali (2) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma leo Agosti 02, 2011 kukagua mradi wa kilimo cha Zabibu (FUNE) katika shamba hilo lenye ukubwa wa Hekari 300.
0 maoni:
Post a Comment