Wanandoa wakiwa kanisani wakati wa kufunga ndoa yao
Wapambe nao hawakua nyuma
PHILIP na mke wake USU baada ya kufunga ndoa wakapiga
Muda wa keki ulipofika mambo yalikua hivi
Mambo ya mduara hayo
Wazee wa mtandao kama kawa hawakukosekana
1 maoni:
Mtoto mzuri huyo mbona hamjamuweka katikati.
Picha nzuri sana,siku nyingne mumuweke katika.
Post a Comment