Friday, August 5, 2011

NANENANE - DODOMA

Ngombe mwenye jina la Mkapa Nzagamba akiongozwa na mmiliki wake, Mashishanga kutoka Nkasi mkoani Rukwa katika mashindano ya mifugo Kitaifa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nanenane, Nzuguni , Dodoma Augost 5, 2011. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. (Picha na Ofsiya Waziri Mku)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, David mathayo David  wakikagua ufugaji wa kuku wa nyama na mayai  wa kisasa wakati  walipotembelea banda la Balton Tanzania Limited kwenye maonyesho ya Nanenane, Nzuguni, Dodoma Augost 5, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, MIzengo Pinda  na Waziri wa Maendeleo  ya Mifugo na Uvuvi, David Mathayo David waktazama ngoma wa kisasa wa maziwa katika mashindano ya kitaifa ya mifugo yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nanenane, Nzuguni Mjini Dodoma Augost 5, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU