Monday, August 15, 2011

NBC YASAPOTI M KUTANO WA CHUO CHA WAHANDISI (CoET

: Mshauri wa Mauzo wa Benki ya NBC Tawi la UDSM, Prosper Massano
(kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali za kibenki
zitolewazo na NBC wakati wa semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Chuo
cha Uhandisi na Teknolojia cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CoET)
kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
ambayo NBC ilidhamini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mfanyakazi wa kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC Tawi
la UDSM, Aloyce Joseph (wa pili kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma
mbalimbali za kibenki zitolewazo na NBC wakati wa semina ya siku mbili
iliyoandaliwa na Chuo cha Uhandisi na Teknolojia cha Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam (CoET)  kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo
Kikuu Cha Dar es Salaam ambayo NBC ilidhamini jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wik
Mfanyakazi wa kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC Tawi
la UDSM, Victoria Michael (kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma
mbalimbali za kibenki zitolewazo na NBC wakati wa semina ya siku mbili
iliyoandaliwa na Chuo cha Uhandisi na Teknolojia cha Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam (CoET)  kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo
Kikuu Cha Dar es Salaam ambayo NBC ilidhamini jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa
(kushoto) akipiga picha na baadhi ya washiriki wa semina hiyo siku ya
uzinduz

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU