Thursday, August 11, 2011

BENKI YA NBC YAZINDUA AKAUNTI MBILI ZINAZOFUTA MAADILI YA KIISLAM

Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (katikati) akizindua rasmi
akaunti mbili za Benki ya NBC ZA wateja wa Makampuni, Mashirika na
Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha
kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick
Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi. Wa pili kulia ni Mkurugen zi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru na kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa NBC wa Akaunti za Shariah, wa William Kalaghe.
Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (katikati) akizungumza
wakati wa uzinduzi rasmi wa Akaunti mbili za NBC ZA wateja wake wa
Makampuni, Mashirika na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni
na misingi ya kifedha kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu
katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi.
Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru na
kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dr Mussa Assad.
Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akishikana mikono na
Mkurugen zi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru wakati wa
uzinduzi rasmi wa Akaunti mbili za wateja wake wa Makampuni, Mashirika
na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha
kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick
Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati)
akizungumza wakati wa uzinduzi uzinduzi rasmi wa akaunti mbili za
wateja wake wa makampuni, mashirika na wafanyabiashara zinazofuata
kanuni na misingi ya kifedha kwa kuzingatia maadili ya dini ya
kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa
juzi. Kulia ni Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC wa Akaunti za Shariah, wa William Kalaghe.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati)
akitoa maelezo kwa Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (wa pili
kushoto)  wakati wa  uzinduzi rasmi wa Akaunti mbili za NBC kwa wateja
Makampuni, Mashirika na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni
na misingi ya kifedha kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu
katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi. Kulia
ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC wa Akaunti za Shariah, William Kalaghe
na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dr Mussa Assad.
Baadhi ya wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na benki
ya NBC kabla ya sherehe za uzinduzi wa akaunti hizo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na benki
ya NBC kabla ya sherehe za uzinduzi rasmi wa Akaunti mbili za NBC kwa
wateja Makampuni, Mashirika na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata
kanuni na misingi ya kifedha kwa kuzingatia maadili ya dini ya
kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa
juzi jioni.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU