Thursday, August 11, 2011

WAZIRI MKUU AKIWA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA

Waziri Mkuu, MIzengo Pinda akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro kwenye makazi yake Mjini Dodoma Augost 11, 2011. (
  Waziri Mkuu, Mzengo PInda na mkewe Tunu wakiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Taifa, Dk. Asha Rose Migiro kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mjini Dodoma Augost 11, 2011 baada ya mazungumzo yao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, MIzengo PInda na mkewe Tunu wakiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Taifa, Dk. Asha Rose Migiro kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mjini Dodoma Augost 11, 2011 baada ya mazungumzo yao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU