Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali Bungeni, Augost 25Mbunge wa Viti Maalum, Dianna Chilolo akimuuliza swali Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kipindi cha maswali Bungeni Augost 25, 2011Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Watoto wa Mbunge wa Viti Maalum, Angellah Kairuki, Ester (kushoto) na Kemilembe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 25, 2011.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kibakwe , George Simbachawene kwenye viwanja vya BungeMjini Dodoma Augost 25,Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Kamishina wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, Bw. T. Alexander Aleinikoff, Ofisini kwake Bungeni Mjini DodomaWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Kamishina wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, Bw. T. Alexander Aleinikoff, Ofisini kwake Bungeni Mjini DodomaWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watendaji waSerikali za Vijiji na Viongozi wa CCM wa jimbo la Magu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 25, 2011.. Kushoto ni MBunge wao, Dr . Dr Festus LimbuWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara,Dr. Cyril Chami kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma AugostWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara,Dr. Cyril Chami kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost
0 maoni:
Post a Comment