Hii ndio picha iliyotolewa kabla ya wadau wa uwanja kuyafuta maandishi haya, kama panavyoonekana kwenye picha ya kwanza.
Hapa ndio palee!! ambapo paliandikwa Lugha gongana panavyoonekana kwa sasaKAPINGAZ Blog inawapongeza sana wahusika wa Uwanja wa ndege wa Kigoma kwa kulifanyia kazi tatizo hili la "LUGHA GONGANA" ingawa ingekua vema kama wangeandika tena yakiwa yamerekebishwa.
0 maoni:
Post a Comment