MamaAsha Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalam wa Chuo cha Uppsala, Mikael Norrby, kuhusu Viumbe vilivyokaushwa na kuhifadhiwa katika Jumba la makumbusho la Gustavo Adolpho nchini Sweden, wakati Mama Asha alipotembelea katika Jumba hilo na kujionea mambo mbalimbali ya kisayansi yaliyomo katika Jumba hilo jana sept. 26. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Uppsala Sweden, wakati wa mhadhara
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa mhadhara na kuelezea uzoefu wa Tanzania kuhusu changamoto za sayansi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Idara ya Sayansi za Kimataifa ya Chuo Kikuu cha Uppsala kilichopo Sweden. Mhadhara huo uliambatana na safari ya Makamu wa Rais katika maabara mbalimbali zilizopo chuoni hapo jana Sept.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Uppsala Sweden, Bo Sundavist (katikati) na Mkurugenzi, Romain Murenzi, wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ua Idara ya Sayansi za Kimataifa ya Chuo Kikuu cha Uppsala kilichopo nchini Sweden. Mhadhara wa maadhimisho hayo ulifanyika jana Sept. 26 nchini hapaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa mhadhara na kuelezea uzoefu wa Tanzania kuhusu changamoto za sayansi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Idara ya Sayansi za Kimataifa ya Chuo Kikuu cha Uppsala kilichopo Sweden. Mhadhara huo uliambatana na safari ya Makamu wa Rais katika maabara mbalimbali zilizopo chuoni hapo jana Sept.
0 maoni:
Post a Comment