Meneja Chapa na Matngazo wa NBC, Arden Kitomari (kulia)
akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana kuhusu
wa udhamini wa benki hiyo iliyotoa shs milioni 12 kudhamini mashindano
ya mbio za mbuzi zinazotarajiwa kufanyika jijini humo Septemba 24
mwaka huu. Kutoka kushoto ni Mwandaaji wa mbio hizo Vanessa Morgan na
Mwenyekiti wa Kamati ya Mbio za Mbuzi

Meneja wa Shirika la Ndege la Uingereza (BA) nchini, Saada Juma
(kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana
kuhusu ushiriki wao katika mashindano ya mbio za mbuzi
yanayozotarajiwa kufanyika jijini humo Septemba 24 mwaka huu. Kutoka
kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mbio za Mbuzi, Karen Stanley na
Meneja Chapa na Matangazo wa NBC, Arden Kitomari ambaye benki yao
imetoa shs milioni 12 kudhamini mashindano hayo.

Mwenyekiti wa Mbio za Mbuzi, Karen Stanley (kushoto)
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mbio
hizo zinazotarajiwa kufanyika jijini humo Septemba 24 mwaka huu. Kulia
ni Meneja Chapa na Matangazo wa NBC, Arden Kitomari ambaye benki yao
ni mmoja wa wadhamini wa mbio hizo.

0 maoni:
Post a Comment