Friday, September 30, 2011

PINDA AKUTANA NA MABALOZI WA CHINA NA DENMARK

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Balozi wa Denmark nchini, Mh. Bjarne Henneberg Sorensen  ambaye alkwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Septemba 30,2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa China nchini, Mhe. Liu Xinsheng, kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 30,2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU