Friday, September 2, 2011

SONY ERICSSON YAJA NA AINA NNE MPYA ZA SIMU ZA MKONONI.

Meneja Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa SONY ERICSSON  Barani Afrika Jorgen Berg akitoa maelekezo kwa wadau walioshiriki uzinduzi wa simu za mkononi za kampuni hiyo iliyoambatana na mchezo wa bahati nasibu kwa wageni waalikwa.

Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa kampuni ya Kwa upande wa Afrika Bi. Patricia Wand akifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Meneja Mkuu wa SONNY ERICSSON Barani Afrika. Katika ni Wadau wa Kampuni ya simu za mkononi ya VODACOM TANZANIA Necta Foya na Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mauzo Upendo Richard.
Pichani ni wadau mbalimbali wakifuatilia uzinduzi huo.
Meneja wa Bidhaa wa Vodacom Tanzania Joseline Kamuhanda (wa kwanza kulia) akifuatilia kwa umakini maelekezo yaliyokuwa yakitolewa katika uzinduzi huo
 Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa umakini uzinduzi wa simu za mkononi za kampuni ya SONY ERICSSON jijini Dar es Salaam.

.Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa kampuni ya Kwa upande wa Afrika Bi. Patricia Wand akitoa ufafanuzi kuhusiana na bidhaa zao za SONY ERICSSON katika uzinduzi wa simu aina 4 mpya za SONY ERICSSON Xperia uzinduzi uliofanyika katika hoteli ya HYATT Kilimanjaro jijini Dar es Salaa

                                  Wadau wakifuatilia uzinduzi huo kwa umakini zaidi.
Mkuu wa Kitengo cha Mauzo VODACOM TANZANIA Upendo Richard akionyesha mfano wa simu hizo mpya za kampuni ya SONY ERICSSON zilizozinduliwa leo na zitapatikana katika maduka ya VODASHOP nchini.
Wadau wa masuala ya simu na mawasiliano wa kampuni za VODACOM, SONY ERICSSON na LOTUS AFRICA wakionyesha miundo ya simu hizo mpya zilizozinduliwa leo
Wadau wa masuala ya simu na mawasiliano wa kampuni za VODACOM, SONY ERICSSON na LOTUS AFRICA wakionyesha miundo ya simu hizo mpya zilizozinduliwa leo.

Pichani Juu na Chini ni washindi wa bahati nasibu ya SONY ERICSSON ambapo Operation Manager wa MO BLOG Zainul Mzige na Mhariri Mkuu wa Jambo leo Willy Edward ambao wameshinda bahati nasibu hiyo na kujinyakulia simu mpya aina XPERIA Mini.(Touch Screen)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU