Wanakwaya wa kikundi cha watu wanaoishi na UKIMWI cha Musoma kinacholelewa na Kanisa la Inland Church la Tanzania (AICT) wakiimba kuwahamasisha watu kupima afya zao katika uzinduzi wa zahanati ya kanisa hilo kwenye eneo la Bweri Mjini Musoma Septemba 17, 2011.

0 maoni:
Post a Comment