Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua jengo la Bweni la wanafunzi walemavu katika shule ya Msingi ya Mwisenge Mjini Musoma akiwa katika ziara ya mkoa wa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 17,2011 Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Musoma Mjini Geofrey NgatuniWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi walemavu baada ya kufungua baada ya kufungua bweni lao kwenye shule ya Msingi ya MWisenge Mjini Musoma Septemba 17,2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi walemavu baada ya kufungua baada ya kufungua bweni lao kwenye shule ya Msingi ya MWisenge Mjini Musoma Septemba 17,2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua daftari la mahudhurio katika kipindi ambapo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alipokuwa akisoma. Mheshimiwa Pinda alikuwa katika dara alilosoma Mwalimu Nyerere kwenye shule ya Msingi ya Mwisenge baada ya kufungua bweni la wanafunzi walemavu kwenye shule hiyo Septemba 17,2011.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini, Geofrey Ngatuni
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama baadhi ya kahanga na vitenge vinavyotengenezwa katika kiwanda cha nguo cha Musoma MUTEX wakati alipotembelea kiwanda hicho Septemba 17,2011. Kushoto ni Mkurugwnzi wa kiwanda hicho, Gulam Dewji.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





0 maoni:
Post a Comment