Sunday, September 18, 2011

HIVI NDIVYO SOKO KUU LA MWANJELWA SIDO LINAVYO ONEKANA BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO

 Haya ni mabaki ya mabati na vyuma  vilivyoteketea kwa moto
Moto bado unaendelea kuwaka  taratibu huku watoto wakiokota mabaki ya bidhaa mbali mbali zilizoungua na moto
Vibaka wakitoka na vyuma chakavu katika banda la sido lililoungua kwa moto
Mabaki ya majiko ya mkaa na vigae vyake
Soko limebakia kiwanja tuu hakuna kilicho salia, pia umati wa watu wakitazama soko baada ya kuungua kwa moto jioni hi
Jengo la sido mbeya nalo limeteketea kwa moto 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU