Monday, September 12, 2011
WAZIRI MKUU AZINDUA TAWI LA CRDB MPANDA
Waziri Mkuu,MIzengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania baada ya kufngua tawila la Chuo hicho la Mpoanda, Septemba 10, 2011. Kulia kwake ni Naibu Waziriwa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo na kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Profesa, Tolly MbweteWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua tawi la benki ya CRDB la Mpanda Septemba 10,2011. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dr.Charles Kimei.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua tawi la benki ya CRDB la Mpanda Septemba 10,2011. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dr.Charles Kimei.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua tawila Benki ya CRDB la Mpanda baada ya kulifungua, Septemba 10,2011. Kulia kwake ni mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB, Martin Mmari. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua tawila Benki ya CRDB la Mpanda baada ya kulifungua, Septemba 10,2011. Kulia kwake ni mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB, Martin Mmari.
0 maoni:
Post a Comment