Saturday, September 17, 2011

WAZIRI MKUU

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal  akiteta  na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sherehe za kuwaapisha wakuu wa mikoa zilizofanyika ikulu jijini Dar es slaam Septemba 16,2011
Rais JakayaKikwete akiteta na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sherehe  za kuwaapisha wakuu wa mikoa zilizofanyika ikulu Jijini Dar es salaam Septemba 16,2011
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa wa zamani, Daniel Ole Njoolay (kushoto) akiteta na Mkuu wa mkoa huo wa sasa, Stella Manyanya katika sherehe za kuwaapisha wakuu wa mikoa zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 16,2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU