Tuesday, September 20, 2011

YANGA YAMFUTIA ADHABU TEGETE ARUDI ULINGONI

                                                         TEGETE akiwa na baba yake mzazi
.
Uongozi wa klabu ya yanga umemfutia adhabu mchezaji JERR TEGETE ambaye alikuwa anadhabu kukaa nje kwa  mwezi mmoja kutokana utovu wa nidhamu.

Msemaji wa YANGA SENDEU amesema TEGETE ameomba radhi kutoka na kosa alilofanya.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU