Meneja Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC, Jane Dogani (katikati)
akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Wiki ya
Huduma Kwa Wateja wa benki hiyo jiijini Dar ers Salaam jana. Kushoto
ni Allan Maro na Mark Peter maofisa wa NBC katika kitengo cha Huduma
kwa Wateja.

Meneja Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC, Jane Dogani (katikati) akiwa
na baadhi ya timu yake ya wafanyakazi katika kitengo cha Huduma kwa
Wateja wakati wa mkutano na waandishi wa bahari kuzindua Wiki ya
Huduma Kwa Wateja wa benki hiyo jiijini Dar ers Salaam jana.

0 maoni:
Post a Comment