Thursday, October 20, 2011

HIFADHI YA KATAVI

Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizama viboko waliosongamana kwenye tope baada ya mabwa na mito kukauka kuftokana na Kiangazi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda Oktoba 20,2011
Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizama viboko waliosongamana kwenye tope baada ya mabwa na mito kukauka kuftokana na Kiangazi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda Oktoba 20,2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitazama tembo wakati aliposimama kwa muda kwenye Lodge ya Katuma Bush katika  Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda wakati  alipoitembelea kukagua athari za kiangazi  kwenye  Hifadhi hiyo Oktoba 20,2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU