Friday, October 28, 2011




Kazi za Kamati hiyo ya Mpito ya Ligi Kuu ni kama ifuatavyo;
1. Approval of fixtures
2. Approval of match commissioners
3. Going through the list of match referees
4. Enforcing Premier League (PL) and First Division League (FDL) regulations
5. Supervising and monitoring of the Leagues
6. Sanctions for non appealable violations of the rules and regulations
7. Preparation of the budget for the Leagues
8. Monitoring PL and FDL finances
9. Organising club seminar
10. Marketing of the Premier League
11. Proposing the way forward towards Independent League
12. Proposing amendment of the regulations.
 
Note: Majina yaliyoandikwa kwa rangi nyekundu ni wajumbe wapya katika kamati husika.
 
Pia Rais wa TFF, Leodegar Tenga atazungumza na waandishi wa habari kuhusu Kamati ya Ligi mara baada ya kurejea nchini. Tenga yuko nchini Kenya ambapo leo anasimamia uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Kenya (KFF)/ Kampuni ya Mpira wa Miguu Kenya (FKL) akiwa ni mwakilishi wa FIFA.
 
MECHI- YANGA vs SIMBA
-Milango itafunguliwa saa 7 mchana.
-Hakuna kitu chochote kitakachoruhusiwa kuuzwa uwanjani
-Mashabiki wakae maeneo kulingana na tiketi zao. Eneo la VVIP ni maalumu kwa wageni waalikwa na si kwa ajili ya watu wenye tiketi za VIP A.
-Msalaba Mwekundu (Red Cross): Tunawakumbusha Red Cross wataendelea kukaa katika maeneo yao husika, kwa sababu rangi zao zinatumika duniani kote na hazina uhusiano na klabu/timu yoyote.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU