Wednesday, October 26, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA MAWASILIANO WA KIMATAIFA GENEVA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika ufunguzi wa mkutano wa Mawasiliano wa Kimataifa, uliofanyika Oktoba 25, Geneva Switzerland, ambapo Tanzania ilikuwa ni moja kati ya nchi zilizoshiriki katika maonyesho ya mkutano huo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akichangia hoja  wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Mawasiliano wa Kimataifa, uliofanyika Oktoba 25, 2011
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihojiwa na mtangazaji wa Televisheni ya CNN, Becky Underson, baada ya kuhudhuria katika mkutano wa Mawasiliano wa kimataifa uliofanyika Geneva, Switzerland, Oktoba 25.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU