Thursday, October 27, 2011

MAZISHI YA MABAKI YA MIILI YA ABIRIA WA DILAX



Shughuli ya ya kuzika mabaki ya miili ya abiria walio kuwa wakisafiri kutoka dar kuelekea dodoma ambao walifariki katika ajali iliyo tokea kibaha mkoa wa pwani baada ya bus la dilax kupasuka gurudumu la mbele nakusababisha kudondoka na kuwaka moto mazishi hayo ya pamoja yamefanyika katika makaburi ya air msae kibaha

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU