Wednesday, October 19, 2011

MISS TANZANIA AKWEA PIPA KWENDA UINGEREZA

Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (kushoto) akiwa na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 alipokuwa akiondoka kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (katikati) akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi (kulia) katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 alipokuwa akiondoka kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael akipunga mkono wakati akiwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 alipokuwa akiondoka nchini kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazo fanyika mwezi ujao
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na  mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi (kushoto), Mama yake mzazi Sabrina Hamisi na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 walipo msikindikiza kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU