Monday, October 31, 2011

NBC NA MABENKI MENGINE YASAINI MAKUBALIANO NA NHC

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah
Mchechu akisaini hati za makubaliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya NBC,Lawrence Mafuru  kuhusu suala la mikopo ya nyumba jijini Da es
Salaam jana, Wanaoshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Prof. Anna Tibaijuka na Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Injinia
Kesogukewele Msita
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah
Mchechu (kushoto) na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC,Lawrence
Mafuru (kulia) wakibadilishana hati za makubaliano   kuhusu suala la
mikopo ya nyumba jijini Da es Salaam jana, Wanaoshuhudia ni Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka na
Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Injinia Kesogukewele Msita
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna
Tibaijuka (kushoto) akishikana mikono na Mkurugenzi mtendaji wa Benki
ya NBC, Lawrence Mafuru katika hafla ambayo Shirika la Nyumba la Taifa
(NHC) lilisaini hati za makubaliano kuhusu mikopo ya nyumba na benki
saba nchini. Benki hizo ni NBC, NMB, BOA, EXIM, Azania, KCB na CBA. Wa
pili kushoto ni Naibu Gavana wa Benki Kuu (BoT) Lila Mkila na Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna
Tibaijuka (katikati, nguo nyekundu), Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah
Mchechu (wa nne kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa
benki saba zilizosaini makubaliano ya ushirikiano na NHC.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU