Wednesday, October 26, 2011

RAIS KIKWETE AKABIDHIWA DEBIT MASTER CARD YA NBC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akijaza fomu ili kupata kadi
mpya ya Debit Master Card ya Benki ya NBC Ikulu, Dar es Salaam hivi
karibuni. Kadi ya NBC Debit Master Card ilizinduliwa na benki hiyo
Oktoba 18 mwaka huu. Wanaomsaidia Rais kutoka kushoto ni, Meneja Tawi
la Corporate Bi. Jacqueline Sindano, Mkuu wa Shughuli za Kibenki,
William Kallaghe na Mwakilishi wa Mauzo, Emmanuel Mseti.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akionyesha kadi yake mpya ya
NBC Debit Master Card mara baada ya kukabidhiwa na maofisa wa Benki ya
NBC Ikulu, Dar es Salaam hivi karibuni. Kadi ya NBC Debit Master Card
ilizinduliwa na benki hiyo Oktoba 18 mwaka huu. Kutoka kushoto ni,
Meneja wa Tawi la Corporate Bi. Jacqueline Sindano Mkuu wa Shughuli za
Kibenki wa NBC, William Kallaghe na Mwakilishi wa Mauzo, Emmanuel
Mseti.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU