Monday, October 17, 2011

REDDS UNI FASHION BASH KWA VYUO VIKUU YAZINDUKIWA

Wa kwanza ni meneja mawasil;iano na habari Tbl Edith Mushi,Katikakati ni Meneja wa Redds Vick Kimaro na Meneja Masoko wa Tbl Fimbo Butalla wakizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa shindano la Redds Uni Fashion Bash kwa wanavyuo wa vyuo vikuu nchini ambapo itahusisha vyuo kwenye mikoa ya Dar es salaam,Moshi,Dodoma na Mwanza

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU